Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za kuwasaidia waathiriwa wa maporomoko ya Chesongoch zaendelea

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 2:43
    Juhudi za kuwapa upya makao waathiriwa wa maporomoko ya ardhi eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet zimeendelea huku serikali ikiandaa mikakati kuwahamisha wale walio hatarini. Gavana Wesley Rotich amesema haya huku maandalizi ya mazishi ya waathiriwa wa maporomoko haya yaliyowaua watu 40 yakipangiwa juma hili.