Juhudi za wahudumu wa afya wa kujitolea katika kaunti ya Siaya zapongezwa

  • | Citizen TV
    100 views

    Kamati ya afya katika Bunge la kaunti ya Siaya iko katika harakati za kuwasilisha muswada utakaohakikisha wahudumu wa afya wa kujitolea wanatambuliwa na kuajiriwa rasmi.