Juhudi zimeendelezwa kupunguza mimba za utotoni

  • | Citizen TV
    312 views

    Juhudi zimeendelea kuendeshwa kaunti ya Homa Bay kupunguza mimba za utotoni miongoni mwa watoto wa kike. Miongoni mwa juhudi hizi ni kutoa hamasisho kwa wanafunzi na wasichana wachanga, pamoja na usambazaji wa sodo