Skip to main content
Skip to main content

| Jukwaa la Afya | Maradhi ya moyo [Part 3]

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 17:36
    Maradhi ya moyo yanajumuisha mshtuko na kiharusi Pia mishipa ya moyo huugua, kuzibika au hata kupasuka Baadhi ya dalili ni kuumwa na kifua na kushindwa kupumua Dalili zingine ni uchovu, shinikizo la damu na kisunzi Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe huathiri moyo Ukosefu wa virutubishi na kutofanya mazoezi huathiri moyo Lishe bora na mazoezi hupunguza hatari ya kuugua moyo