Jumapili ya leo tunazamia kifaa hichi, je, wakifahamu? Tutakueleza kwa undani maana yake. Kila bunge linapokwenda kuanza vikao vyake, huwa tunashuhudia msafara wa Spika ukielekea ndani ya Ukumbi au Chamber, na mbele ya msafara huo huwepo kifaa maalum kwa jina Mace. Hii hapa taswira kuhusu umuhimu wake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive