Skip to main content
Skip to main content

Junior Stars watamenyana na Tanzania baada ya kufungwa 1-0 na Ethiopia

  • | Citizen TV
    551 views
    Duration: 55s
    Timu ya taifa ya kandanda ya chipukizi Junior Stars itamenyana na Tanzania kwenye nusu fainali ya mechi za kufuzu kwa AFCON ya wachezaji wa chini ya miaka 17 baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Ethiopia katika uwanja wa Abebe Bekila mjini Addis Ababa.