Kabila ajitokeza hadharani Goma, anapanga nini?

  • | BBC Swahili
    12,292 views
    Rais wa zamani wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila yuko mashariki mwa nchi hiyo na ameanza msururu wa mikutano na baadhi ya viongozi katika eneo hilo. Kiongozi huyo anahusishwa na kundi la waasi la M23 ambalo linashikilia majimbo ya Kivu Kusini na Kaskazini. Ikiwa serikali kuu haipo tena Goma, kuwepo kwa Kabila mjini humo kunaashiria nini? @RoncliffeOdit anachambua hili kwa kina saa tatu usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili #bbcswahili #goma #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw