Kagwe akashifu uharibifu na wizi wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    736 views

    Waziri wa kilimo mutahi kagwe ameonya kuhusu kuchipuka kwa magenge ya wahalifu wanaotumia maandamano kuharibu na kuiba mali ya watu.