- 504 viewsDuration: 1:39Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu serikali kwa kile anasema ni kutotilia maanani masuala ya wahadhiri wanaogoma kwa wiki ya tatu sasa. Akiwahutubia viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu katika makao makuu ya chama hicho, Kalonzo amesema serikali ya sasa imeharibu sekta ya elimu kwa kufanya masomo kuwa ghali. Alikuwa ameandamana na baadhi ya wabunge walioendeleza shutuma dhidi ya serikali