Kalonzo ajitangaza kiongozi wa upinzani

  • | KBC Video
    85 views

    Kinara mwenza wa muungano wa Azimio Kalonzo Musyoka sasa amejitangaza kuwa kiongozi rasmi wa upinzani kufwatia kuzinduliwa rasmi kwa kampeni ya Raila Odinga kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa muungano wa Afrika.Akizungumuza katika kituo cha SKM akiwa ameandamana na viongozi wa vyama vingine tanzu kwenye muungano huo,Kalonzo alisisitiza kuwa muungano huo ungali imara licha ya kuondoka kwa Raila kwenye ulingo wa siasa hapa nchini kushughulikia maswala ya bara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive