Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo amlaumu Kindiki kwa vurugu za Nembure

  • | Citizen TV
    4,110 views
    Duration: 2:39
    Muungano wa upinzani, ukiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, umemtaka Naibu wa Rais Kithure Kindiki kubeba msalaba wake mwenyewe kwa machafuko yaliyovuruga mkutano wa wajumbe wa UDA Nembure, Embu, siku ya Jumamosi. Kalonzo amesema wakazi wa eneo hilo walikuwa na haki ya kupata fedha ambazo zilikuwa zikigawiwa katika mkutano huo. Willy Lusige anaarifu.