8 Apr 2026 1:33 pm | Citizen TV 2,264 views Duration: 1:29 Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka jumanne aliandaa mkutano na wajumbe wa viongozi kutoka eneo la Nyanza katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi.