- 458 viewsDuration: 2:32Mbunge wa Homa Bay Mjini Peter Kaluma sasa anadai kuwa kuna njama ya kamati fulani za hazina ya kitaifa ya ustawi ya maeneo bunge (NG-CDF) kupora pesa za umma kupitia ununuzi wa mabasi ya shule. Akizungumza baada ya kukabidhi mabasi mawili ya shule kwa shule mseto ya Ogande, mbunge huyo anadai kuwa baadhi ya wanachama wa bodi ya NG-CDF wanapatia kipa umbele ununuzi wa mabasi ya shule licha ya wanafunzi wengi kusomea katika madarasa mabovu na maabara zisizo na vifaa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive