'Kama kesi iko Mahakamani tusiizungumzie'

  • | BBC Swahili
    8,887 views
    "Ni kama mahakama ya (Tanzania) 🇹🇿 imeanza kuingiliwa. Hii kesi ipo Mahakamani lakini Mwanasheria Mkuu anakwenda kuizungumzia kwenye Bunge" - Jaji mstaafu Joseph Warioba akielezea hatua ya Mwanasheria Mkuu alipokuwa akizungumzia na kutetea uamuzi wa mahakama kuisikiza kesi ya kiongonzi wa CHADEMA Tundu Lissu kwa njia ya mitandao. - #bbcswahili #tanzania #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw