- 9,116 viewsDuration: 7:46Rosana Kathure anasimulia hadithi yake katika waridi wa BBC baada ya kupitia unyanyasaji na mateso katika ndoa yake hadi kufikia kupoteza jichoblake na kupata ulemavu wa mkono. Amezungumza na Asha juma katika Waridi wa BBC. kutazama kwa urefu simulizi hii tembelea YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #kenya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw