1 Oct 2025 1:46 pm | Citizen TV 1,371 views Duration: 1:43 Kamanda wa Polisi wa eneo la Kaskazini Mashariki, Papita Ranka, amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa mchakato wa uajiri wa polisi unaotarajiwa kuanza hivi karibuni utakuwa huru na wa haki.