Kamati ina siku 42 kukamilisha mazungumzo

  • | K24 Video
    39 views

    Mapendekezo 142 yamewasilishwa kwenye kamati ya kitaifa ya Bomas kati ya serikali na upinzani kamati hiyo imesema kuwa iko tayari kushughulikia mapendekezo yote huku ikitupilia mbali madai ya baadhi ya wanasiasa wa Kenya kwanza kwamba hakuna chochote kikubwa kitatokana na mazungumzo hayo kamati hiyo sasa ina siku 42 kukamilisha mazungunzo hayo na kutoa mwelekeo japo mazungumzo hayo bado hayajaanza rasmi