Kamati ya Afya katika Baraza la Magavana yataka shirika la KEMSA kuwajibikia hali ya hospiali

  • | Citizen TV
    106 views

    Mwenyekiti wa Kamati ya Afya katika Baraza la Magavana ambaye ni Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki sasa anataka serikali kuu kuisaidia halmashauri ya usambazaji dawa na vifaa vya matubabu KEMSA kwa haraka, akisema kuwa kaunti zimekuwa zikikabiliwa na upungufu wa usambazaji wa dawa nchini. Gavana huyo akisema kuwa matatizo ambayo kemsa inakumbana nayo yamesababishwa na kutolipwa na hata kuchelewa kwa malipo ya kaunti.