Kamati ya afya yazuru kaunti ya Kisii kutathmini hali katika idara hiyo

  • | Citizen TV
    204 views

    Kamati Maalum ya Seneti inayosimamia maswala ya afya inazuru kaunti ya Kisii kutathmini hali katika idara hiyo. Kamati hiyo pia inatarajia kufanya mkutano na washikadau mbalimbali kama njia moja wapo ya kuimarisha sekta nzima ya afya. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno yuko mjini Kisii na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.