Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge kuhusu ardhi yakosoa usimamizi wa Galana Kulalu

  • | Citizen TV
    177 views
    Duration: 2:25
    Wanachama wa kamati ya Bunge la Taifa kuhusu ardhi wanataka hatua zichukuliwe dhidi ya usimamizi wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo kwa kushindwa kufika mbele yake kuhusu usimamizi wa ardhi ya ekari 250,000 katika Kaunti za Tana river na Kilifi.