Kamati ya kiufundi kwenye mazungumzo kati ya serikali na upinzani imeanza shughuli rasmi

  • | Citizen TV
    7,287 views

    Kamati ya mazungumzo na maridhiano imetaka wanachama wake ambao ni viongozi bungeni kuwasilisha mswada wa kuunda kamati hiyo rasmi ili kuhakikisha yatakayojadili yana nguvu kisheria. Katika kikao cha Jumatatu, kamati ya kiufundi ilijumuishwa rasmi na sasa inatarajiwa kufanya vikao kuorodhesha masuala ibuka na ni yapi yatapewa kipaumbele.