Kamati ya kuangazia matakwa ya madaktari yabuniwa

  • | Citizen TV
    233 views

    Kamati ya watu 13 imebuniwa kuangazia matakwa yaliyowasilishwa na madaktari baada ya mkutano baina ya KMPDU na wizara ya afya kufeli. Madaktari waliwasilisha masuala 19 muhimu waliyosisitiza lazima yashughulikiwe kabla ya kusitisha mgomo likiwemo swala la kutumwa kwa madaktari wanagenzi katika hospitali mablimbali nchini.