Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya kuchunguza ukatili wa kijinsia yaagiza mauaji ya wanawake kutangazwa janga la kitaifa

  • | Citizen TV
    451 views
    Duration: 2:53
    Kamati maalum iliyobuniwa kuchunguza visa vya ukatili wa kijinsia imetaka serikali kutangaza mauaji ya wanawake kuwa janga la kitaifa. Haya yaliibuka wakati kamati hiyo inayoongozwa na naibu jaji mkuu wa zamani nancy barasa ilipowasilisha ripoti yake kwa rais william ruto mapema leo. Na kama maryanne nyambura anavyoarifu, ripoti hiyo imeonyesha kuwa asilimia 34 ya wanawake nchini wanapitia ukatili.