Kamati ya michezo yakamilisha maandalizi ya michezo ya vijana wasiozidi umro wa miaka 23 Malindi

  • | Citizen TV
    142 views

    Kaunti ya Kilifi sasa itakua mwenyeji kwenye michezo ya vijana wasiozidi umri wa miaka 23 ambayo hufanyika mara moja kila mwaka nchini.