Kamati ya ulinzi bungeni yamhoji katibu mteule wa ulinzi Patrick Mariru

  • | Citizen TV
    817 views

    Kamati ya bunge kuhusu ulinzi inamhoji katibu mteule wa wizara ya ulinzi Patrick Mariru ambaye amezungumzia suala la hongo wakati wa kuwasajili makurutu wa kijeshi. Aidha amezungumzia bajeti za siri za wizara ya ulinzi na umuhimu wake