Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya usalama Kisumu yashirikiana na majasusi kusaka wahusika wa ghasia

  • | Citizen TV
    608 views
    Duration: 1:45
    Kamati ya usalama kaunti ya Kisumu sasa imesema kuwa inashirikiana na majasusi kukamata wahusika wa ghasia za Jumapili jijini Kisumu, ambapo watu wawili walifariki na pikipiki tisa kuteketezwa.