28 May 2026 2:40 pm | Citizen TV 173 views Duration: 1:56 Kamati ya usalama kule Magarini sambamba na serikali ya kaunti ya Kilifi yasitisha mara moja upanuzi wa kiwanda cha chumvi eneo la mjanaheri hadi pale mzozo baina yake na wakaazi utakapo suluhishwa.