Kamati ya usalama Trans Nzoia imetangaza majina ya washukiwa 27

  • | Citizen TV
    645 views

    Kamati ya usalama kaunti ya Trans Nzoia imetangaza majina ya watu 27 wanaotafutwa na polisi kuhusiana na visa vya wizi wa kimabavu katika maeneo ya Tuwan na Matisi Viungani mwa mji wa Kitale. sita kati ya washukiwa hao ni wanafunzi wa shule za upili. polisi wamewataka washukiwa hao kujisalimisha katika kipindi cha wiki moja.