Kamati ya utalii na wanyamapori inasikiza maoni ya umma Lamu

  • | Citizen TV
    191 views

    Kamati ya Idara ya Utalii na Wanyamapori chini ya Mwenyekiti wa muda mhandisi Abdi Hamisi Chome, mbunge wa eneo bunge la Voi, inasikiza maoni ya umma katika Kisiwa cha Faza, Lamu Mashariki kuhusu Mswada wa marekebisho ya uhifadhi na usimamizi wa wanyamapori uliopendekezwa na Mbunge wa Lamu Mashariki, Kapteni Ruweida Obo. rahma rashid anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.