Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa. Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    29,246 views
    Iran imelenga kambi ya kijeshi ya Marekani iliyopo nchini Qatar. Awali jeshi la Iran liliapa kulipiza kisasi shambulizi la Marekani lililolenga vituo vitatu vya kurutubisha madini ya Urania nchini Iran. Shirika la habari la Iran la Tasnim limethibitisha makombora kurushwa na kulenga kambi ya Al Udaid.