Skip to main content
Skip to main content

Kamishna John Otieno asisitiza haja ya kuimarisha uratibu wa kisekta ili kuboresha usalama

  • | NTV Video
    162 views
    Duration: 1:12
    Kamishna wa polisi wa eneo la kaskazini mashariki, john otieno, amesisitiza haja ya kuimarisha uratibu wa kisekta mbalimbali ili kuendeleza usalama wa eneo hilo, akisema kuwa jukwaa la ushirikiano kati ya serikali, wadau na jamii limeongeza ufanisi wa kubadilishana taarifa na kupanga mikakati ya pamoja. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya