Skip to main content
Skip to main content

Kampeini dhidi ya kujitia kitanzi

  • | Citizen TV
    119 views
    Duration: 2:41
    Huu ukiwa Mwezi wa hamasisho Dhidi ya Kujiua au Kujitia Kitanzi Ulimwenguni, Muungano wa Watoa nasaha wa Saikolojia Nchini pamoja na Msalaba Mwekundu wamefanya Mazungumzo kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Shule za kiufundi, Wakilenga kuzungumza na Vijana wa Chini ya Miaka 30 ambao Mara Nyingi wamejipata kwa msongo wa Mawazo na Kupelekea Kujitia Kitanzi.