30 Sep 2025 1:41 pm | Citizen TV 153 views Duration: 1:45 Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa (NGEC) imezidisha kampeni yake kote nchini dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia, ikitaja viwango vya kutisha vinavyohatarisha ustawi wa jamii.