Skip to main content
Skip to main content

Kampuni 13 kutoka Italia zakutana wa wadau wa sekta ya kilimo; zalenga kuongeza usalama wa chakula

  • | NTV Video
    97 views
    Duration: 2:30
    Kila mwaka, Afrika hupoteza kati ya asilimia 30 na 50 ya mazao yake ya kilimo kutokana na changamoto za uhifadhi, uchakataji na ufungashaji. Ili kusaidia kukabiliana na hali hiyo, kampuni 13 kutoka Italia zinazobobea katika teknolojia za kilimo na uchakataji wa chakula zimekutana na wadau wa sekta hiyo jijini Nairobi kuonyesha suluhisho za kisasa zinazolenga kuongeza usalama wa chakula na thamani ya mazao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya