Kampuni 27 za usafiri zaondolewa kwenye orodha ya kusafirisha waumini wanaoelekea Saudi Arabia

  • | Citizen TV
    861 views

    Baraza kuu la waisilamu nchini Supkem limetangaza kuondolewa kwa kampuni 27 za usafiri kutoka kwenye orodha ya kampuni zilizoidhinishwa kushughulikia mipango ya ibada ya hajj. Mwenyekiti wa Supkem Hassan Ole Naado akisema kuwa, ni kampuni 50 pekee zilizoidhinishwa kuwasafirisha waumini wanaoelekea Saudi Arabia kwa ibada hii ya kila mwaka. Supkem sasa ikiwataka waumini wanaonuia kufanya ibada hii kuhakikisha wanapata huduma kutoka kwa kampuni zilizoidhinishwa