Kampuni kuzalisha bajaji za umeme Tanzania

  • | VOA Swahili
    173 views
    Tanzania Kampuni ya Tree, inazalisha pikipiki za matairi mitatu maarufu kama Bajaji zinazotumia umeme, Wakati kazi hiyo ikifanywa kwa sehemu kubwa na wanafunzi hatua inayotajwa kuwa na tija katika kuwajengea uwezo na kutoa fursa za ajira kwenye sekta hiyo inayoendelea kukua kwa sasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.