- 159 viewsDuration: 1:14Shirika la Maji la Tana Athi limewekeza shilingi milioni 330 kuboresha upatikanaji wa maji katika Mradi wa Serikali wa Viwanda vya Ngozi wa Kinanie, Machakos. Mradi huo unahusisha uchimbaji wa visima, ujenzi wa matenki ya kuhifadhi maji na uwekaji wa mabomba ya usambazaji wa maji kwa matumizi ya viwandani na ya nyumbani.