Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya One Petroleum yasema ilialikwa na serikali kuagiza mafuta

  • | Citizen TV
    3,258 views
    Duration: 2:56
    Wiki chache baada ya kimya kingi kuhusu sakata ya punde zaidi ya uagizaji wa mafuta, hatimaye kampuni ya One Petroleum imejitokeza kujitetea. Kampuni hiyo ikisema iliagizwa na serikali kuliokoa taifa kutokana na uhaba wa mafuta. Kampuni hiyo ikisema kwamba imepata hasara kubwa katika mvutano huo na sasa inatishia kuelekea mahakamani.