Kampuni ya Royal Media Services yafadhili kambi ya matibabu Kakamega

  • | Citizen TV
    38 views

    Kama njia moja ya kumaliza changamoto ya nasuri yaani fistula kwa kina mama, mashirika ya Amref, Safaricom na Kampuni ya Royal media services yameandaa kambi ya matibabu ya bure ya wiki moja mjini Kakamega.