Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Xiaomi imezindua rasmi simu mpya Redmi Note 15

  • | Citizen TV
    72 views
    Duration: 1:00
    Kampuni ya Xiaomi imezundua rasmi simu mpya, aina ya Redmi note 15, ikiwa na miundo mitatu inayonuiwa kukidhi mahitaji mbalimbali kulingana na bajeti ya mwananchi. Simu hii ikiwa imejengwa kwa teknolojia ya titan tough ya Xiaomi, inatoa kinga bora dhidi ya kishindo cha kuanguka na uwezo wa kustahimili maji, pamoja na utendaji wenye nguvu, betri inayodumu kwa muda mrefu, na kamera zilizoboreshwa