Skip to main content
Skip to main content

Kanda za CCTV zaibua siri kuhusu kifo cha Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    117,144 views
    Duration: 4:05
    Kanda za CCTV kutoka Kituo cha Polisi cha Central jijini Nairobi zilizowasilishwa mahakamani zimeonyesha matukio yaliyotangulia mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang. Kanda hizo zinaonyesha watu wawili wakiingia kwenye seli aliyokuwa amezuiliwa Ojwang kabla ya kuuawa mwaka jana. Mahakama pia imeelezwa jinsi ushahidi wa CCTV ulivyoharibiwa kwa lengo la kuficha ukweli. Ode Francis anatuarifu zaidi.