Kandambili kutengenezewa picha

  • | BBC Swahili
    487 views
    Ageuza viatu vilivyotupwa kuwa kazi ya sanaa - Eugene Komboye hukusanya viatu vya plastiki vilivyotupwa katika madampo na kingo za mito nchini Nigeria na kuvibadilisha kuwa kazi za sanaa. - Msanii huyo mwenye umri wa miaka 30 anasema amekuwa akifanya hivyo kwa zaidi ya miaka mitano ili kusaidia kuokoa mazingira, baada ya kugundua kuwa viatu vya raba vinaweza kuchukua hadi miaka 80 kuharibika. - - - #bbcswahili #nigeria #mazingira #uchafuziwamazingira #plastiki