Kanisa lenye uhusiano na Martin Luther King Jr lateketea kwa moto

  • | BBC Swahili
    3,383 views
    Moto wateketeza kanisa la kihistoria la Marekani lenye uhusiano na Martin Luther King Jr. Kanisa la kihistoria la Wamarekani Weusi lililopo Memphis, Tennessee lilishika moto mapema asubuhi ya tarehe 28 Aprili na kuharibika vibaya. #bbcswahili #marekani #martinlutherkingjr Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw