Kanisa Madukani laanzisha mpango wa kuwaokoa vijana kutoka minyororo ya dawa za kulevya

  • | KBC Video
    14 views

    Kanisa la Kanisa Madukani lililoko katika eneo bunge la Kabete katika kaunti ya Kiambu limeanzisha mpango mahususi wa kuwarekebisha tabia na kuwaokoa maelfu ya vijana ambao wamenaswa na minyororo ya dawa za kulevya. Viongozi wa eneo hilo wameahidi kushirikiana na kanisa kuwaokoa vijana wa eneo hilo kutokana na tatizo la dawa za kulevya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #drugabuse #darubiniwikendi

    abuse