Skip to main content
Skip to main content

Kanisa na PEFA kuhamasisha wazee wa jamii ya wakuria kuhusu madhara ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    171 views
    Duration: 1:27
    Usimamizi wa kanisa la PEFA humu nchini umeanza mchakato wa kuhamasisha wazee wa kijamii katika Maeneo ya Kuria kukomesha ukeketaji . Wakizungumza katika Kanisa la PEFA tawi la Isebania, Rais wa kanisa Hilo Askofu John Okinda, alieleza kuwa ni lazima wazee hao wanaoshikilia mila waelimishwe kuhusu madhara ya ukeketaji Kwa mtoto msichana....