Kanja asema ufisadi kikosini utapigwa vita katika ngazi zote

  • | KBC Video
    43 views

    Huduma ya taifa ya polisi imeahidi kutokomeza ufisadi katika ngazi zote. Inspekta Jenerali Douglas Kanja amewaagiza maafisa wa polisi kutekeleza majukumu yao kitaaluma akitoa wito kwa makamanda kuwa mfano bora kwa maafisa wa vyeo vya chini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive