Skip to main content
Skip to main content

Kanja na Amin waagizwa tena kufika mahakamani kuhusu vijana waliopotea

  • | Citizen TV
    3,819 views
    Duration: 3:07
    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa DCI Mohamed Amin wameagizwa kwa mara ya pili kufika mahakamani kueleza waliko vijana watatu waliotoweka kabla na wakati wa maadhimisho ya Juni 25. Maafisa hao walitarajiwa kufika mahakamani leo lakini hawakufika, huku wakili wao akieleza kuwa walikuwa kwenye mkutano muhimu wa kupanga masuala ya kiusalama. Wakati huo huo, familia za vijana hao zimeendelea kulilia haki na kutaka wapendwa wao warejeshwe nyumbani baada ya kutoweka kwa zaidi ya wiki tatu.