Kariobangi Sharks watamenyana na Gor Mahia leo katika uwanja wa Dandora kwenye robo fainali la FKF

  • | TV 47
    52 views

    Raundi ya Robo fainali ya kombe la FKF.

    Kariobangi Sharks watamenyana na Gor Mahia leo jioni.

    Mechi hiyo itasakatwa katika uwanja wa Dandora.

    Murang’a SEAL itachuana na Ulinzi Stars FC.

    Nairobi United itapambana na Kakamega Homeboyz.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __