Kasisi Dorcas awapongeza vijana wanaojitokeza kuelezea kuhusu changamoto wanazopitia

  • | KBC Video
    10 views

    Mkewe naibu rais, kasisi Dorcas Rigathi ameitaka jamii kuwatia shime watu walio na matatizo ya kiakili ili waweze kufungua roho na kuelezea wazi masaibu yao. Kasisi Dorcas amewapongeza vijana wanaojitokeza kuelezea kuhusu changamoto wanazopitia kuhusiana na matatizo ya kiakili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive