Skip to main content
Skip to main content

Katibu Mueke awasilisha chakula cha msaada kwa wakazi Mwingi Mashariki

  • | Citizen TV
    124 views
    Duration: 1:29
    Wanainchi zaidi ya 4000 kutoka kaunti ya Kitui wamenufaika na chakula cha msaada ambacho kimetolewa na katibu katika wizara ya kilimo na ustawishaji wa mifugo Jonathan mueke. Akiongea na wanainchi wakati wa kupeana chakula cha msaada mueke alisema kwamba selikali inaendelea kusaidia vikundi vya kina mama pamoja na vijana kwa kuwasaidia na mizinga ili waweze kufuga nyuki na kupata mapato kutoka kwa asali badala ya kutegemea tu kilimo kinachohitaji maji au mvua. Mbali na chakula, Mueke pia aliwasilisha mizinga mia moja kwa kina mama